1952; Acha Yatokee…

By | May 5, 2020
Tunajua hili kuhusu furaha, kwamba kadiri unavyoikimbiza, ndivyo unavyoikosa. Lakini ukiishi maisha yako na kuiacha furaha itokee, inakuwa na wewe kila wakati. Furaha ni kama kipepeo, ukikikimbiza kinakimbia, ukitulia eneo sahihi kinakufuata. Mafanikio pia ndivyo yalivyo, ukiyakimbiza huyakamati, kila wakati utajiona hufikii mafanikio unayoyataka. Lakini ukiacha kuyakimbiza, yanajitokeza yenyewe. Mafanikio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In