1974; Nguvu Ya Matumaini…

By | May 27, 2020
Huwa tunaanza kufanya kitu huku tukiwa hatujui mbele tunakwenda kukutana na nini. Ni mpaka tunapoanza kufanya ndiyo tunakuja kukutana na magumu na changamoto ambazo kabla hatujaanza hatukuzitegemea. Lakini kwa kuwa tumeshachagua kufanya, tunaendelea kufanya, na baadaye tunapata mafanikio ambayo hatukutegemea kupata. Ukiangalia kwa nje au kwa mtu mwingine, ni rahisi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz