2065; Muda Na Pesa…

By | August 26, 2020
Muda na pesa ni vitu viwili unavyoweza kutumia kupima vipaumbele vya mtu na hata kuweza kutabiri kwa uhakika mtu huyo ataishia wapi. Tukianza kwenye vipaumbele, hata kama mtu hajakuambia chochote, ukiangalia jinsi anavyotumia muda na pesa zake, utajua wazi vipaumbele vyake ni nini. Mtu anaposema kwamba hana muda wa kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In