#TAFAKARI YA LEO; KAMA WEWE YAMEKUSHINDA, UNADHANI WENGINE WATAWEZA?

By | June 21, 2021
Wajibu wako wa kwanza kwenye maisha yako ni wewe mwenyewe. Hilo ndiyo jukumu lako kubwa unalopaswa kulipa kipaumbele kikubwa. Kitu chochote ambacho unataka watu wakupe, lazima uanze kujipa wewe mwenyewe. Ukitaka wakupende, jipende. Ukitaka wakukubali, jikubali. Na ukitaka wakuheshimu, jiheshimu. Kama wewe mwenyewe unashindwa kujipa vitu hivyo, unadhani wengine watawezaje

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In