#TAFAKARI YA LEO; HAZINA YA BIASHARA YAKO…

By | July 7, 2021
Ni wateja ambao tayari walishanunua kwenye biashara yako na kuridhika na kile walichokipata. Ukishakuwa na wateja wa aina hii basi biashara yako ina hazina kubwa. Ni wateja ambao ni rahisi kuwashawishi wanunue tena, lakini pia ni wateja ambao wanaweza kuweta wateja wengine. Kila siku pambana kujenga hazina hii kwenye biashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In