#TAFAKARI YA LEO; CHAGUA KUELEWEKA AU KUFANIKIWA…

By | July 8, 2021
Vyote viwili haviwezi kwenda pamoja. Ukitaka ueleweke na kila mtu huwezi kufanikiwa. Na ukitaka upate mafanikio makubwa, huwezi kueleweka na kila mtu. Wanaofikia mafanikio makubwa wanajali zaidi ndoto zao kuliko wengine wanawachukuliaje. Wanaoshindwa wanajali sana wengine wanawachukuliaje kuliko wanavyojali ndoto zao kubwa. Kipenga kimepulizwa, unachagua upande upi? Ukichagua upande wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In