#TAFAKARI YA LEO; RAHISI VS SAHIHI…

By | August 29, 2021
Fanya vitu rahisi na utakuwa na maisha magumu. Fanya vitu sahihi na utakuwa na maisha rahisi. Vitu rahisi kufanya siyo sahihi na vitu sahihi kufanya siyo rahisi. Kila unachofanya, jiulize kwanza unakifanya kwa sababu ni rahisi au sahihi? Utajikamata mara nyingi ukifanya vilivyo rahisi wakati vilivyo sahihi vipo mbele yako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In