2433; Kichekesho cha jamii…

By | August 29, 2021
2433; Kichekesho cha jamii… Mchekeshaji mmoja amewahi kusema watu wanatumia fedha ambazo hawana, kununua vitu ambavyo hawavitaki ili kujionyesha kwa watu ambao hawajali. Na mwandishi Morgan Housel kwenye kitabu chake cha psychology of money ameandika kuhusu dhana ya mtu aliye kwenye gari la kifahari. Anasema wengi hununua magari ya kifahari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In