2522; Kama unajua sana, mbona matokeo hayaonyeshi huo ujuaji?

By | November 26, 2021
2522; Kama unajua sana, mbona matokeo hayaonyeshi huo ujuaji? Kwenye safari ya mafanikio, hakuna sumu kubwa kama ujuaji. Sumu hii huanza pale mtu anapoona yale anayofundishwa tayari anayajua. Kwa sababu maarifa na siri za mafanikio ni zile zile, wengi hufika mahali na kuona wameshajua kila kitu, hakuna tena kitu kipya.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In