ONGEA NA KOCHA; Wewe Ni Mshindi, Third Door na Ernest Paschal.

By | November 29, 2021
Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi cha juma cha ONGEA NA KOCHA. Kwenye kipindi hiki unakwenda kupata yafuatayo; Moja ni somo la wewe ni mshindi, ambapo nimekushirikisha kwa kina namna ya kufikiri kama mshindi, kufuta kabisa mbadala na kupambana mpaka ufanikiwe. Mbili ni uchambuzi wa kitabu cha Third Door ambapo mwandishi ameshirikisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In