#SheriaYaLeo (30/366); Amini kwenye mchakato.

By | November 30, 2021
#SheriaYaLeo (30/366); Amini kwenye mchakato. Unapoanza kufanya kitu chochote kile kipya kwako, unakutana na ugumu mkubwa. Unakua hujui mambo mengi kuhusu kitu hicho na hivyo unasumbuka sana mwanzoni. Unaweza kukata tamaa kwa kuona vitu ni vingi na vigumu, huwezi kupambana navyo. Kama utakata tamaa, utakuwa umeishia hapo na kushindwa kufikia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In