2525; Mbadala Ndiyo Unaokuponza.

By | November 29, 2021
2525; Mbadala Ndiyo Unaokuponza. Kadiri unavyokuwa na machaguo mengi, ndivyo inavyokuwa vigumu kwako kuchukua hatua. Pale unapokuwa na mbadala wa chochote unachofanya, ukikutana na ugumu utakimbilia kwenye mbadala huo. Hiki ni kikwazo kikubwa kwa mafanikio ya wengi, kuwa na mbadala kunawafanya wasikomae na kitu kimoja mpaka wakapata matokeo makubwa. Kujua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In