#SheriaYaLeo (78/366); Nguvu ya matakwa na maamuzi.

By | January 17, 2022
#SheriaYaLeo (78/366); Nguvu ya matakwa na maamuzi. Pale unapokitaka kitu kweli na unapokuwa huna mbadala mwingine wa kitu hicho, huwa unapata nguvu ya kupambana mpaka kukipata. Unajitoa kwa kila namna na unafanya kazi kwa muda wa ziada ili upate kile unachotaka. Pale unapojua kwa hakika nini unachotaka na unapoamua kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In