2574; Mgongo ukutani.

By | January 17, 2022
2574; Mgongo ukutani. Kama unapigana na mtu, ambaye unaona ni vigumu kumshinda, unaweza kuwa unarudi nyuma kama sehemu ya kumkwepa. Kama utarudi nyuma mpaka kujikuta mgongo umekutana na ukuta, hapo unajua wazi hakuna tena njia ya kukimbia. Ni labda upambane kwa kila namna ushinde au ushindwe vibaya. Unapokuwa katika hali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In