#SheriaYaLeo (81/366); Mbobezi wa ulimwengu.

By | January 20, 2022
#SheriaYaLeo (81/366); Mbobezi wa ulimwengu. Wanaofikia ubobezi wa hali ya juu siyo wale wanaojua tu kuhusu eneo walilochagua, bali wale wanaojua na maeneo mengine pia. Ni wale wanaotafuta muunganiko uliopo kwenye maeneo tofauti tofauti na kutumia muunganiko huo kufanya makubwa zaidi. Akili ya mbobezi wa ulimwengu huwa inaendelea kukua kadiri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In