2577; Msukumo wa ndani.

By | January 20, 2022
2577; Msukumo wa ndani. Kama mtu anataka kweli kufanya kitu, hakuna chochote cha nje kinachoweza kumzuia. Na kama mtu hataki kabisa kufanya kitu, hakuna chochote cha nje kinachoweza kumlazimisha. Kila kitu kinaanzia kwenye msukumo wa ndani ambao mtu anao. Bila ya msukumo huo wa ndani, hakuna hatua zozote ambazo mtu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In