2630; Udhaifu wako mwenyewe.

By | March 14, 2022
2630; Udhaifu wako mwenyewe. Matatizo na changamoto nyingi vimekuwa vinajirudia kwa watu, kwa sababu huwa hawakubali chanzo cha hayo. Wao hukazana kutafuta wengine wa kulaumu isipokuwa wao. Wanakuwa na ushahidi kabisa wa jinsi wengine wamehusika kwenye yale wanayopitia. Lakini hata wanapomaliza hilo, bado mengine yanaibuka. Hayakomi kwa sababu mtu anakimbilia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In