#SheriaYaLeo (154/366); Tumia uhaba kuongeza thamani.

By | April 3, 2022
#SheriaYaLeo (154/366); Tumia uhaba kuongeza thamani. Ni kanuni ya msingi kabisa ya uchumi kwamba kitu kinapopatikana kwa wingi, thamani yake inapungua na hivyo bei yake kuwa chini. Lakini kitu kinapopatikana kwa uhaba, thamani yake inakuwa kubwa na bei yake kuwa juu. Ili kuongeza thamani yako binafsi na ya kile unachofanya,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In