#SheriaYaLeo (157/366); Waweke watu kwenye shauku ya kukufuatilia.

By | April 6, 2022
#SheriaYaLeo (157/366); Waweke watu kwenye shauku ya kukufuatilia. Watu huwa wanapenda kufuatilia vitu ambavyo vinawaweka juu juu. Vitu ambavyo hawana uhakika vitakwendaje. Vitu ambavyo ni tofauti kabisa na mazoea na hivyo havitabiriki. Kwa kila unachofanya, kifanye kwa namna hiyo na siyo kwa mazoea. Wafanye watu wawe wanajiuliza kipi kingine utafanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In