#SheriaYaLeo (164/366); Tumia mbinu ya kujisalimisha.

By | April 13, 2022
#SheriaYaLeo (164/366); Tumia mbinu ya kujisalimisha. Unapokuwa dhaifu, usipambane na mwenye nguvu. Badala yake chagua kujisalimisha. Kupambana na mwenye nguvu huku wewe ukiwa dhaifu ni kuchagua kushindwa vibaya. Kujisalimisha kunakupa nafasi ya kujipanga na kukusanya nguvu zako ili baadaye uweze kushambulia na kushinda. Kujisalimisha kunamfanya adui yako akudharau na kukuona

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In