2659; Tafuta changamoto zaidi.

By | April 12, 2022
2659; Tafuta changamoto zaidi. Watu wengi hufikiri maisha yasingekuwa na changamoto ndiyo yangekuwa mazuri na yenye furaha. Lakini ukweli ni kwamba maisha hayatakuja kukosa changamoto. Kila wakati maisha yatakuwa na changamoto fulani. Hata ukishakuwa na kila unachokitaka, ukawa na uhuru kamili wa kifedha, bado changamoto zitakuwepo tu. Hata kama huhitaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In