#SheriaYaLeo (174/366); Dhibiti kile unachosema.

By | April 23, 2022
#SheriaYaLeo (174/366); Dhibiti kile unachosema. Mamlaka ni mchezo wa mwonekano kadiri unavyozungumza kidogo, ndivyo unavyoonekana wa muhimu na mwenye mamlaka makubwa. Unapokaa kimya unawafanya wengine washindwe kukutabiri. Maana sisi binadamu ni mashine za kutengeneza maana, huwa hatuwezi kutulia kama hatujui maana au nia ya kitu fulani. Unapozungumza sana, unaweka kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In