2669; Nini ni sahihi na siyo nani yuko sahihi.

By | April 22, 2022
2669; Nini ni sahihi na siyo nani yuko sahihi. Changamoto kubwa tunazokutana nazo kwenye maisha huwa zinaanzia kwenye hukumu tunazotoa kwa wengine. Mara nyingi hukumu hizo huwa ni za upendeleo. Kama mtu tunampenda au kukubaliana naye tunamhukumu vizuri kwa sababu tunaona upande wake mzuri tu. Na kama mtu hatumpendi au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz