#SheriaYaLeo (179/366); Waambie watu wanachotaka kusikia.

By | April 28, 2022
#SheriaYaLeo (179/366); Waambie watu wanachotaka kusikia. Ukweli huwa unauma, Watu wengi huwa hawapendi kusikia ukweli. Hivyo kama unataka kupata wafuasi wengi, usiwaambie watu ukweli, bali waambie kile wanachotaka kusikia. Watu hawataki kusikia kwamba kujenga utajiri kunahitaji muda, juhudi na nidhamu ya hali ya juu. Wanataka kusikia wakipanda pesa leo kesho

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In