2674; Uongozi ni kuwaudhi watu kwa manufaa yao wenyewe.

By | April 27, 2022
2674; Uongozi ni kuwaudhi watu kwa manufaa yao wenyewe. Kama hutaki kuwaudhi watu. Basi usiwe kiongozi. Kwa sababu wajibu mkubwa wa kiongozi ni kuwafanya watu wafanye vitu ambavyo hawataki kufanya, ila vina manufaa kwao. Yaani kitu kina manufaa kwa mtu, lakini hataki kukifanya, kwa sababu ni kipya kwake au kigumu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In