#SheriaYaLeo (186/366); Jali kuhusu watu ili kuwajua kiundani.

By | May 5, 2022
#SheriaYaLeo (186/366); Jali kuhusu watu ili kuwajua kiundani. Hatari kubwa inayokukabili ni kudhani kwamba unawajua watu kiundani na unaweza kuwahukumu kwa haraka. Hilo siyo sahihi, kila mtu unayekutana naye ana mambo mengi ambayo bado huyajui. Kama wanavyosema, moyo wa mtu ni kichaka, una mengi ambayo huwezi kuyaona haraka. Hivyo mtazamo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In