#SheriaYaLeo (189/366); Onekana kuwa kitu kinachopendwa.

By | May 8, 2022
#SheriaYaLeo (189/366); Onekana kuwa kitu kinachopendwa. Watu huwa wanapenda kitu ambacho tayari kinapendwa na watu wengine. Kile ambacho tayari ni maarufu huwa kinawavutia watu wengine wengi zaidi. Watu huwaepuka watu ambao watu wengine wanawaepuka na kuvutiwa na watu ambao watu wengine wanavutiwa nao. Ili kujenga ushawishi na kuwavuta watu wengi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In