2684; Kwani umefikaje kwenye hicho kilele?

By | May 7, 2022
2684; Kwani umefikaje kwenye hicho kilele? Fikiria umemkuta mtu kwenye kilele cha mlima na ukamuuliza amewezaje kufika kwenye hicho kilele. Unadhani atakuambia nilikuwa nazurura zurura tu hapo chini ya mlima na hatimaye nikajikuta nipo kileleni? Jibu ni hapana, atakueleza wazi kwamba alipanga kupanda mlima huo, kisha akapiga hatua moja baada

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In