2692; Muda, nguvu na umakini ni ule ule.

By | May 15, 2022
2692; Muda, nguvu na umakini ni ule ule. Ukiwa na malengo madogo, muda wako wa siku utakaofanya kazi ni ule ule, nguvu zako za mwili utakazotumia ni zile zile na umakini utakuwa ule ule. Ukiwa na malengo makubwa, bado muda, nguvu na umakini utakaotumia ni ule ule. Malengo madogo ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In