2709; Uvivu na uzembe.

By | June 1, 2022
2709; Uvivu na uzembe. Hawa ni maadui wakubwa wawili ambao ndiyo kikwazo kinachowazuia wote ambao hawajafanikiwa. Kwa kila ambaye hajafanikiwa, unapochunguza lazima unakuta maadui hao wawili wapo. Uvivu ni pale mtu unapojua nini unachopaswa kukifanya, ila hukifanyi. Unaweza kujipa sababu lukuki kwa nini hufanyi. Lakini ukweli ni kwamba una uvivu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In