MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (213/366); Ufanye uwepo wako uwe wa msisimko.
#SheriaYaLeo (213/366); Ufanye uwepo wako uwe wa msisimko. Kwenye dunia ambayo ni ngumu na iliyojaa hali za kukatisha tamaa, watu wanapenda sana kukaa na watu wanaowapa msisimko. Hilo linarahisisha zoezi la ushawishi kwa sababu watu wanakazana sana kupata nafasi ya kuwa karibu na wewe. Ili kuwezesha hilo, hakikisha watu hawakuelewi