#SheriaYaLeo (237/366); Changanya ukali na wema.

By | June 25, 2022
#SheriaYaLeo (237/366); Changanya ukali na wema. Unapokuwa kiongozi unahitaji sana kuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine ili kuweza kuwaongoza vizuri na kufanya makubwa. Njia bora ya kufanya hivyo ni kuchanganya ukali na wema. Na hilo unalifanya kupitia zawadi na adhabu unazozitoa. Kama kiongozi unapaswa kueleza taratibu za watu wako kufuata.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz