#SheriaYaLeo (243/366); Wachukulie kwa mtazamo sahihi.

By | July 1, 2022
#SheriaYaLeo (243/366); Wachukulie kwa mtazamo sahihi. Jinsi unavyowachukulia watu, ndivyo pia wanavyokuwa. Matarajio uliyonayo kwa watu ndiyo matokeo utakayoyapata hata kama hutawaambia moja kwa moja. Tegemea watu watafanya vizuri au kuwa vizuri na hilo ndiyo litatokea. Na kama utategemea watu wafanye vibaya au kuwa wabaya ndivyo watakavyokuwa. Matarajio yetu kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In