#SheriaYaLeo (248/366); Epuka vita zisizo na manufaa.

By | July 6, 2022
#SheriaYaLeo (248/366); Epuka vita zisizo na manufaa. Siyo kila vita ni ya wewe kupigana. Siyo kila pambano lazima ushinde. Na siyo kila anayekukabili unapaswa kujibizana naye. Wengi wanakutega uingie kwenye mitego yao ili kukuvuruga usiendelee na mikakati yako mikubwa. Wanakuchosha na mapambano yasiyo na tija kitu kinachoondoa nguvu zako kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In