2744; Usichoambiwa kuhusu mauzo.

By | July 6, 2022
2744; Usichoambiwa kuhusu mauzo. Kitu kimoja ambacho watu wengi huwa hawaelewi kwa uhalisia kwenye mauzo ni kwamba mara nyingi wateja huwa wanakudanganya. Na wanafanya hivyo kwa nia njema kabisa ya kutokutaka kukuumiza. Lakini wanaishia kukuumiza zaidi kwa kutokununua kwako. Mapingamizi mengi ambayo mteja anakupa siyo halisi, hasa kwenye pingamizi la

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz