#SheriaYaLeo (251/366); Gawa ili kushinda.

By | July 9, 2022
#SheriaYaLeo (251/366); Gawa ili kushinda. Pale tunapokabiliana na kitu chochote kikubwa, iwe ni adui, jukumu au changamoto, huwa tunahofia. Ukubwa wa kile kinachotukabili unatuogopesha kwa kuona hatuwezi kukishinda. Lakini huo siyo ukweli, hakuna chochote kikubwa ambacho hatuwezi kukishinda kama tutatumia njia sahihi. Na moja ya njia bora kabisa ya kushinda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In