2747; Uongozi ni maono na msimamo.

By | July 9, 2022
2747; Uongozi ni maono na msimamo. Mengi husemwa na kufundishwa kuhusu uongozi. Sifa nyingi hutajwa kwenye uongozi. Lakini kuna sifa kuu mbili zinazohitajika sana kwenye uongozi ili uweze kuwa na manufaa. Sifa hizo ni maono na msimamo. Kiongozi lazima awe na maono makubwa ya siku zijazo na ambayo anaamini kabisa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In