#SheriaYaLeo (272/366); Pangilia mpaka mwisho.

By | July 30, 2022
#SheriaYaLeo (272/366); Pangilia mpaka mwisho. Hatari nyingi kwenye maisha, ambazo zipo mbele yetu, huwa zinaweza kuepukika kama tukiwa na mipango mizuri mpaka mwisho. Mara nyingi huwa tunachukua hatua ya kutatua tatizo dogo, lakini tunaishia kuzalisha tatizo kubwa zaidi. Kwenye mamlaka, nguvu kubwa ipo kwenye vitu unavyoacha kufanya kuliko vile unavyovifanya.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In