2767; Wanaheshimu unachokagua.

By | July 29, 2022
2767; Wanaheshimu unachokagua. Umewahi kukubaliana kitu na mtu, kuhusu mambo anayopaswa kubadili. Anakubali kabisa na anaanza kubadilika. Lakini baada ya muda mfupi anarudi kule kule alikotoka. Anayaacha mabadiliko na kurudi kwenye mazoea. Unaweza kushangazwa na kuumizwa na hali ya aina hiyo. Iweje mtu akubali kitu halafu baadaye abadilike? Ambacho huelewi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In