#SheriaYaLeo (274/366); Usiende zaidi ya lengo.

By | August 1, 2022
#SheriaYaLeo (274/366); Usiende zaidi ya lengo. Kiini cha mkakati ni kudhibiti kile kinachofuata baada ya kufikia lengo. Maana ushindi huwa una hatari ya kuvuruga kile kinachofuata kwa njia mbili. Moja ni kutaka kurudia kufanya yale uliyofanya ukidhani yatakupa matokeo uliyopata. Unajikuta ukijenga mazoea bila hata kuangalia kama ni mazoea sahihi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In