2770; Lazima uwaamini watu.

By | August 1, 2022
2770; Lazima uwaamini watu. Jamii zote zimejengwa kwenye msingi wa kuaminiana. Ni pale watu wanapoaminiana ndiyo jamii inakuwa imara na watu kufanikiwa. Na pale imani baina ya watu inapokosekana, jamii inakuwa dhaifu na watu kushindwa. Ni imani kwa wengine kwamba wanajua wanachofanya na wana nia njema ndiyo inafanya kila jamii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In