#SheriaYaLeo (289/366); Epuka nguvu ya kubadilishwa na kundi.

By | August 16, 2022
#SheriaYaLeo (289/366); Epuka nguvu ya kubadilishwa na kundi. Sisi binadamu ni viumbe wa kijamii, huwa tunapenda sana kuwa ndani ya makundi ya watu wengine. Lakini makundi hayo huwa yana nguvu kubwa ya kutubadili kwa namna tunavyofikiri, kusema na kufanya. Ndani ya kundi tunajikuta tukijilinganisha na wengine na kujali wanatuchukuliaje. Bila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz