2786; Hujashindwa, ni uvivu tu.

By | August 17, 2022
2786; Hujashindwa, ni uvivu tu. Rafiki, kama kuna kitu chochote unachojiambia umeshindwa, siyo kweli. Kama bado upo hai, hakuna chochote unachokuwa umeshindwa. Bali unakuwa tu na uvivu wa kuendelea. Kila hadithi ya watu waliofanikiwa ina somo moja kubwa, kufanya kitu mara nyingi na kwa muda mrefu bila kupata matokeo mazuri.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In