#SheriaYaLeo (304/366); Asili ya binadamu haibadiliki.

By | August 31, 2022
#SheriaYaLeo (304/366); Asili ya binadamu haibadiliki. Dunia inaendelea kupiga hatua. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanaleta ufahamu kwenye mambo mengi ambayo huko nyuma hayakujulikana. Kwa sababu hiyo tunaweza kudhani pia kwamba binadamu nao wanabadilika. Lakini ukweli ni kwamba asili ya binadamu huwa haibadiliki. Bado watu wanafanya maamuzi kwa hisia badala

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In