#SheriaYaLeo (305/366); Wewe ndiyo kikwazo kwako.

By | September 1, 2022
#SheriaYaLeo (305/366); Wewe ndiyo kikwazo kwako. Maisha ni vita na mapambano, kila wakati unajikuta ukikabiliana na hali mbaya, mahusiano mabovu na mashirikiano hatari. Jinsi unavyokabiliana na hali hizo ndiyo itaamua hatima yako. Kama utajiona umepotea, kama utapoteza mwelekeo, kama huwezi kutofautisha rafiki na adui, unapaswa kujilaumu mwenyewe. Kila kitu kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz