#SheriaYaLeo (315/366); Vuka ukabila.

By | September 11, 2022
#SheriaYaLeo (315/366); Vuka ukabila. Ukabila una mizizi ndani ya asili ya binadamu. Ulitusaidia sana kipindi ambacho usalama wa mtu ulitegemea sana kuwepo ndani ya kundi. Kuwa nje ya kundi ilikuwa hatari kubwa kwa maisha ya mtu yeyote. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, hali ya usalama ni kubwa na hakuna hatari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In