2810; Usitengeneze majuto.

By | September 10, 2022
2810; Usitengeneze majuto. Unakumbuka ukiwa shuleni, kuna wakati ulikuwa husomi sana na pale matokeo yalipokuwa yanatoka ukawa unajiambia kama ungeweka juhudi zaidi, ungeweza kupata matokeo zaidi? Hiyo ni dhana ambayo wengi wanaondoka nayo shuleni na kwenda nayo kwenye maisha, kitu kinachowazuia wasipate mafanikio makubwa. Kufanya vitu nusu nusu ili ukishindwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz