#SheriaYaLeo (324/366); Hatima ya maisha yako.

By | September 20, 2022
#SheriaYaLeo (324/366); Hatima ya maisha yako. Watu wote waliowahi kufanya makubwa hapa duniani walikuwa ni watu wa kuamini maisha yao yana hatima kubwa. Hawakukubali kuyumbishwa kwa namna yoyote ile kwenye hilo. Waliamini wanakwenda kufanya makubwa mpaka jamii iliyowazunguka nayo ikawaamini kwenye hayo. Kwa imani hiyo isiyoyumbishwa, waliweza kufanya makubwa sana.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In