2836; Udhaifu ndiyo uimara.

By | October 6, 2022
2836; Udhaifu ndiyo uimara. Kwa maisha yetu yote tumekuwa tukidanganywa. Tumekuwa tunaambiwa tuyafanyie kazi madhaifu yetu kwa kuyaondoa ili tuwe imara. Hilo linafanyika kwa nia nzuri, ila matokeo yake huwa siyo mazuri. Pale mtu anapohangaika kuondoa madhaifu yake na kuyageuza kuwa uimara, kinachotokea ni madhaifu hayo yanakuwa makubwa na yenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In