MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (341/366); Muda hai au muda mfu?
#SheriaYaLeo (341/366); Muda hai au muda mfu? Muda ambao upo hai ndiyo kitu pekee unachokimiliki. Vitu vingine vyote ulivyonavyo unaweza kuvipoteza – familia yako, nyumba, magari, kazi na hata biashara. Muda ambao upo hai ndiyo kitu pekee kilicho ndani ya udhibiti wako. Jinsi ya kutumia muda wako, ni maamuzi yako